Raheem Sterling naye kaja na lebo yake RS7..anashidana na Ronaldo?..(Picha)


Wageni waalikwa sherehe ya Liverpol wamzomea Sterling

sttt

Unapozungumzia lebo ya CR7 humtambulisha rasmi mchezaji bora wa duniani Cristiano Ronaldo ambayo ndiyo humtambulisha..sasa kiungo mpya wa Manchester City naye kaamua kuingia kwenye biashara nakuanzisha lebo inayofanana na hiyo.

lin

Raheem Sterling sasa atatumia chata mpya ya RS7, ambayo inatarajia kuonyesha ushindani kwa CR7 ya Cristiano Ronaldo wa Real Madrid.

ettt
Swali ni kwamba Sterling ameamua kuingia kwenye ushindani na Ronaldo?

rrrrr
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment