Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Wakazi aliandika:
Asante ZittoKabwe kwa kutukumbusha hili. I’m not a politician ila nasimamia haki na usawa, and I can get political or radical even when it comes to things that affect my line of work na mkate wangu wa kila siku. Mimi si support chama bali na support wagombea ambao najua watasimamia maslahi ya kazi zangu. Sugu na Profesa Jay hata wangekuwa CUF au CCM ningewasupport maana they feel my pain. So wanaotaka uongozi au viongozi kama alivyo Zitto Kabwe, akisema Maneno kama hayo basi they will have my support 100%. ni bora uninyime million 20 za kutumbuiza kwenye kampeni alafu uende bungeni ubadili sheria na kuweka zitakazoniwezesha kutengeneza million 200 kwa kufanya kazi zangu, kuliko unipe milioni 20 za kampeni alafu baada ya hapo unanisahau na mimi na endelea kuomba show za laki 8 ambazo nazo nazipata ni kwa mbinde!!!! #realtalk #amkamtanzania
Naye Zitto kupitia Instagram aliandika:
Wasanii wa Tanzania, wakati tunatetea kazi zenu kurasmishwa ilimfaidi jasho lenu, hao mnaowaimbia leo hawakuinua mdomo wao kuwatetea, kampeni zikiisha na thamani yenu imeisha, Tulivyopaza sauti kupinga unyonyaji wa makampuni ya simu RBT hawa wanaohaidi kuwatetea leo hata habari walikuwa hawana. Naomba mtafakari sana hatma ya tasnia yenu.
0 comments:
Post a Comment