Alikiba na Jokate washuhudia mtanange wa Simba na Yanga pamoja


Alikiba na Jokate Mwegelo waligeuka kuwa kama kumbi kumbi weekend hii baada ya kuungana pamoja kushuhudia mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam.


Alikiba na Jokate wakitoka katika uwanja wa Taifa

Jokate ambaye anaonekana kuwa ni shabiki wa Yanga iliyoibuka na ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Simba alionekana mfalme wake Kiba akiwa amepigilia blausi nyeupe, jeans ya blue na kofia ya blue iliyoandikwa ‘King.’

Kupitia Instagram mrembo huyo alipost picha akiwa uwanjani na kuandika: TeamYanga.





Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment