Swizz Beatz ameikubali ‘Nana’ ya Diamond Platnumz, amepost video mtoto wake alivyoicheza.. (+Video)







Rapper na producer wa muziki toka Marekani, Swizz Beatz ni kama midundo ya Afrika ameanza kuikubali sana sasahivi.. kuna siku alipost yeye pamoja na mpenzi wake, Alicia Keys vipisi vya video wakienjoy midundo ya kwenye album ya staa wa Muziki toka Nigeria, Wizkid.
Muda mfupi uliopita jamaa kapost tena kipande cha video ya mtoto wake akiwa anacheza wimbo wa Diamond Platnumz, ‘Nana’ Feat. Mr. Flavour… kwenye post hiyo Swizz ameandika >>> “Vibes ���� song by@diamondplatnumz #goodvibes” >>> @therealswizzz
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment