AY akutana na mdogo wake kwa mara kwanza baada ya miaka 16

Rapper Ambwene Yessayah aka AY amekutana na mdogo wake wa kiume kwa mara ya kwanza baada ya miaka 16.


11326103_129119637439451_1676991405_n

AY ameiambia 255 ya XXL kupitia Clouds FM kuwa kuonana na mdogo wake huyo kunaenda sambamba na siku ambayo baba yake mzee Yessayah anatimiza miaka 12 toka afariki dunia.
“Tulikuwa hatujawahi kuwasiliana na wala kuongea kwenye simu na vitu vilikuwa complicated kidogo,” amesema. Ni mdogo wangu na leo ilikuwa siku special kuonana naye na pia leo ni siku ya kumbukumbu ya Mzee Yessayah. Mimi mwenyewe binafsi nimekuwa na furaha kuonana na mdogo wangu wa kiume.”


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment