Barakah Da Prince akanusha madai ya nyimbo alizoandika mwenyewe kushindwa kufanya vizuri

Baraka Da Prince amekanusha taarifa za watu wanaodai kuwa nyimbo anazoandika mwenyewe zinashindwa kufanya vizuri kuliko zile anazoandikiwa.

Barakah Da Prince

Barakah ameiambia Planet Bongo ya EA Radio, kuwa hakuna nyimbo yake hata moja ambayo haijafanya vizuri.
“Ukiona nyimbo yangu iliyosuasua, yaani kila kitu ni airtime, hakunaga kitu kibaya kwa watanzania, kitu wanachokisikia ndio kitu wanachokizoea na kukipenda,” amesema. “Kwahiyo mimi naamini sina nyimbo mbaya, nyimbo zangu zote kali na hata kama nikiandika mwenyewe na nyimbo nyingi huwa naandika mwenyewe,” alisisitiza.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment