Drake na Future waachia Mixtape ya pamoja ‘What a Time to Be Alive’

Drake na Future wameachia Mixtape ya pamoja waliyoipa jina la ‘What a Time to Be Alive’, ikiwa ni muda mfupi toka a-tease kufanya kazi pamoja siku ya Jumamosi. Mixtape hiyo iliyotoka rasmi Jumapili Sept 20 ina jumla ya nyimbo 11.

drake na future

Drake alianza kutease siku ya Jumamosi kupitia Instagram kwa kupost cover ya Mixtape hiyo
“I went to Atlanta for six days a couple weeks ago with the hopes of doing some songs with Future, and when you get around Future, it’s like a vortex, that guy can outwork anybody right now, It’s tough to see someone do four, five songs in one night and not try to match it.” Alisema Drake.

Hii ni orodha ya nyimbo kwenye aMixtape hiyo
1. “Digital Dash”
2. “Big Rings”
3. “Live From the Gutter”
4. “Diamonds Dancing”
5. “Scholarships”
6. “Plastic Bag”
7. “I’m the Plug”
8. “Change Locations”
9. “Jumpman”
10. “Jersey”
11. “30 for 30 Freestyle”


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment