Video: Nonini ft. Collo – Mchezo na Ganji

Hatimaye Nonini ameachia video ya collabo yake na Collo ‘Mchezo na Ganji’, ambayo audio yake ilitoka mwezi uliopita. Katika video hii ameonekana pia mwimbaji Avril wa Kenya kwenye Intro. Wimbo umetayarishwa na Dillie wa Johari Cleft Studios, na video imeongozwa na Willie Wusu.




Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment