Flaviana Matata ala shavu la kutangaza utalii wa Tanzania nchini Marekani


Mwanamitindo wa kimataifa, Flaviana Matata ameteuliwa na wizara ya Maliasili na Utalii kuwa balozi wa utalii wa Tanzania kwenye jimbo la New York, nchini Marekani.


11379747_992995564068610_781738784_n

Flaviana alitambulishwa jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Adelhelm Meru.
Kwa kipindi kirefu sasa Flaviana amekuwa akiishi jijini New York ambako hufanya ya mitindo.

11324438_136859439987577_976694499_n
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment