Muimbaji wa ‘Imebaki Story’, Hemedy PHD, amesema October 7 ataachia wimbo wake mpya uitwao ‘Memories.’
Hemedy ameiambia Bongo5 kuwa wimbo huo umetayarishwa kwenye studio za Don Villa Records.
Amesema wimbo huo upo kwenye mahadhi ya R&B na ni wimbo tofauti.
Video ya wimbo huo imeongozwa na kampuni ya Kwetu Studios itakayotoka baada ya uchaguzi.
0 comments:
Post a Comment