Vanessa Mdee a.k.a Vee Money anaendelea kupata mashavu ya kimataifa, ambapo hivi sasa ataiwakilisha Bongo katika tamasha la ‘African Music Concert’ 2015 (AMC) linalotarajiwa kufanyika October 24, 2015 Johannesburg, Afrika Kusini.
Hit maker wa ‘No Body But Me’ atashare jukwaa na mastaa wengine wa Afrika akiwemo Wizkid, Davido, Uhuru, A.K.A, K.O, RunTown, Victoria Kimani, Dama do bling, Bucie, Da LES, Darley, Anatii, Emmy Gee na The Soweto Gospel Choir.
Vee Money ameshare taarifa hiyo na mashabiki wake kupitia ukurasa wake wa Instagram
0 comments:
Post a Comment