Hii ni Top 10 ngoma kali za Nicki Minaj

Ni 'Rap Princess' kutoka kundi la YMCMB 'Young Money Entertainment'. Karinu kwenye Top 10 list na leo nimeona nikuletee mwana dada Nicki Minaj katika ngoma zake ambazo wataalamu wa muziki wameona ngoma hizo zinafaa kuwa ngoma zake kali 10 kutokana na ubora wake.

Hapa tunaangalia kutokana na mashabiki kukubali ngoma hiyo, Ku download kwenye mitandao na wakati mwingine comment za wengi.

Top 10 list.

10: “Pills n Potions” The Pinkprint (2014)
9: “Fly” feat. Rihanna Pink Friday (2010)
8: “Your Love” Pink Friday (2010)
7: “Roman’s Revenge” feat. Eminem Pink Friday (2010)
6: “Va Va Voom” Pink Friday: Roman Reloaded (2012)

5: “Anaconda” The Pinkprint (2014)
4: “Moment 4 Life” feat. Drake Pink Friday (2010)
3: “Pound the Alarm” Pink Friday: Roman Reloaded (2012)
2: “Starships” Pink Friday: Roman Reloaded (2012)
1: “Super Bass” Pink Friday (2010)

Unaipenda ngoma ipi ya Nicki Minaj? Umekubaliana na list hii ya kuwa zinaweza kuwa ni ngoma kali 10 za msanii huyu? Naomba niachilie comment yako hapo chini.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment