Wema Sepetu na zawadi kutoka kwa Dimpoz

MANENO aliyoandika mrembo wa Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu katika mtandao wake wa Instagram baada ya kupewa zawadi ya simu na msanii mwenzake, Ommy Dimpoz: “Akhsante bwana Omary Nyembo a.k.a Dimpoz kwa poz kwa zawadi ya simu toka US japo imenitoa ushamba hahahahahaha!”
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment