Hizi ndizo video zilizo ingia Top 10 week hii EATV, 'GAME" ya Navy Kenzo yashika namba moja

Kama unaangalia EATV ambayo ni Tinga namba moja kwa vijana basi utakuwa unaelewa kuwa ni moja ya channel hapa Tanzania katika kukuza muziki wa nchini na Afrika Mashariki. Na katika list ya video kali zilizo ingia kwenye Top 10 ya EATV week hii Navy Kenzo wakiwa wamemshirikisha Vanessa Mdee katika video yao ya 'GAME' wameshika namba moja wakifuatiwa na Jidenna Feat. Kendrick Lamar - 'CLASSIC MAN RMX' huku nafasi ya tatu ikiwa imeshikwa na Koredde Bello - 'GODWIN'
Hii ni Top 10 ya EATV.
01: Navy Kenzo Feat. Vanessa Mdee - 'GAME'

04: Linah - 'NO STRESS'
05: Roberto - 'AMARULAH'
06: Khaligraph Jones Feat. DJ Creme - 'I AM KING (RIP COMPETITION)'
07: Yamoto Band - 'NISAMBAZIE RAHA'
08: Navio Feat. Mr Blue - 'AYAYA'
09: Davido Feat. Meek Mill - 'FANS MI'
10: Nay Wa Mitego - 'SINA MUDA'

Hizo ni Top 10 za EATV, Wewe kwa ngoma hizo unazani ipi ingekuwa namba moja hadi kumi?
Niachie comment yako hapo.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment