Hizi ni video za magoli ya mechi za UEFA za September 15 katika mechi za hatua ya makundi

Usiku wa September 15 ni siku ambayo ilipigwa michezo kadhaa ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, michezo hiyo ilimalizika kwa vilabu kadhaa kuibuka na ushindi hivyo ni furaha kwa mashabiki wa timu zilizoshinda. Nakusogezea video za magoli ya mechi kadhaa zilizopigwa September 15.
PSV Eindhoven 2-1 Manchester United

Manchester City 1-2 Juventus 


Real Madrid Vs Shaktar Donetsk


Galatasaray Vs Atletico Madrid 

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment