Akizungumza kwenye kipindi cha FNL cha EATV, Hussein alisema nguvu yake binafsi anayotumia ndio imeishia hapo alipo sasa.
“Watanzania wanataka ukitoa ngoma na ukiki jumla. Kumbuka kwamba nilipokuwa nikifanya vile nilikuwa kwenye management na sasa hivi nafanya mwenyewe kama mwenyewe. Kwahiyo mimi nguvu yangu mimi mwenyewe mtu mmoja kama mmoja ndio imesababisha kufika hapa nilipo. Labda wanishauri nitafute management au mtu anayejua kufuatilia muziki anisaidie lakini sio kublame na vitu kama hivyo.”
0 comments:
Post a Comment