K.O arejea South, ashukuru na kuelezea alichojifuza Tanzania na Kenya

Rapper K.O wa Afrika Kusini amerejea nyumbani baada ya kumaliza zaidi ya wiki moja aliyoifanya Tanzania na Kenya.
11875505_404038573129890_735526248_n
Rapper huyo alikuja nchini kufanya ziara ya vyombo vya habari na kufahamiana na wasanii. Baada ya kutoka Dar alienda Nairobi ambako alifanya ziara na kutumbuiza pia.
“Back home after a very fruitful trip. Inspired and motivated to work even harder! Can’t wait to explore more countries on this rich continent of ours,” ameandika kwenye Instagram.
“Love connecting with fellow artists and exchanging cultures. Amazing how my music seems to have transcended language barriers and boarders, how some of us out here are household names out there. Tanzania & Kenya, thank you for having.”
Angalia interview tuliyofanya na rapper huyo.





Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment