Leo September 4th kwenye siku yakuzaliwa Beyoncé, Hizi ni Top 10 collaboration zake



Leo tarehe 4th September, Beyoncé anafikisha miaka 34 ya kuzaliwa kwake. Alianza safari yake ya kimuziki mwaka 1997 na amebaki kuwa miongoni mwa wasanii wanao fanya vizuri ulimwenguni. Mbali na talent aliyonayp, Beyoncé anajua kuchagua watu wakufanya nao collaboration ili kufanya muziki mzuri.
Wasanii hao kama DrakeSean PoulBun BSlim ThugKanye West na wengine walio fanya colabo na Queen B.
Mbali na hao wote, Hakuna msanii ambaye anapenda kazi ya Beyoncé kama mume wake ambaye ni rapper Jay z.

Hizi ni TOP 10 collaboration za Beyoncé.

10. Bonus : Destiny’s Child feat Lil Wayne – Soldier

9. Beyoncé feat Drake – Mine

8. Beyoncé feat J.Cole – Party

7. Beyoncé feat Jay Z – Upgrade U

6. Beyoncé feat Sean Paul – Baby Boy

5. Beyoncé feat Jay Z – Déjà Vu

4. Beyoncé feat Bun B & Slim Thug – Check on it

3. Beyoncé feat Kanye West – Ego

2. Beyoncé feat Jay Z – Drunk in Love

1. Beyoncé feat Jay Z – Crazy in Love

Super Bonus : Jay Z feat Beyoncé – Bonnie & Clyde

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment