Lil Wayne na Christina Milian waachana baada ya kudate kwa zaidi ya mwaka mmoja

Couple ya mastaa wa Marekani, rapper Lil Wayne na mwanadada Christina Milian yadaiwa kuvunjika, baada ya kudate kwa zaidi ya mwaka mmoja.


wyne and milian

Kwa mujibu wa Entertainment Tonight, Milian na Wayne wameachana toka mwishoni mwa mwezi uliopita.
Chanzo kimoja kimesema kuwa moja ya chanzo cha wawili hao kuachana ni pamoja na ubize wa ratiba zao.
Hata hivyo wawili hao wameendelea kuwa marafiki na weekend iliyopita Sept 12 wote walihudhuria show ya Alexander Wang’s New York Fashion Week.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment