Majina ya walioingia fainali ya tuzo za ‘CNN MultiChoice African Journalist 2015’ yatangazwa, Mtanzania yuko mmoja


cnn awards2015

Majina ya waandishi wa habari walioingia fainali yametangazwa (Sept 14) .
Mr Abubakari Akida Mussa wa gazeti la Mtanzania ndiye mwandishi wa habari pekee wa Tanzania aliyeingia kwenye kinyang’anyiro hicho.
Kenya inawakilishwa na waandishi wanne na Uganda wawili. Jumla ya waandishi 31 kutoka nchi 15 wamefanikiwa kuingia kwenye fainali hizo.

Hii ni orodha ya waandishi walioingia fainali:

1. Fiifi Essilfie Anaman, Freelance for zonalsports.com, Ghana

2. Benedicta Asiimwe, Freelance for Daily Monitor, Uganda

3. Femi Asu, Punch Newspaper, Nigeria

4. Domingos Bento, redeangola.info, Angola

5. Thomas Naadi Bitlegma, Viasat1, Ghana

6. Sheriff Bojang Jnr, Freelance for West Africa Democracy Radio, Senegal

7. Ruth Butaumocho, The Herald, Zimbabwe

8. Ibrahima Diallo, Radiodiffusion Télévision Sénégalaise (RTS), Senegal

9. Adewale Olugbenga Emosu, tribuneonlineng.com, Nigeria

10. Chahinaz Samir Gheith, Freelance for Al-Ahram Hebdo, Egypt

11. Carla Gonçalves, A Nação, Cape Verde

12. Boldwill Hungwe, Zimbabwe Independent, Zimbabwe

13. Ibanga Isine, Premium Times Newspaper, Nigeria

14. Paul Kelemba, Freelance for The Standard on Saturday, Kenya

15. Deo Gratias Tchédé Kindoho, Radio Bénin, Benin

16. Julie Laurenz & Jacqueline Jayamaha, Freelance for e.tv, South Africa

17. Petride Mudoola, Freelance for Sunday Vision, Uganda


18. Abubakari Akida Mussa, Mtanzania Newspaper, Tanzania

19. Pedro Paxi Pereira Ndoma, TV Zimbo, Angola

20. George Oduor Otieno, Baraka FM, Kenya

21. Hyacinthe Boowurosigue Sanou, L’Observateur Paalga, Burkina Faso

22. Enock Sikolia & Charles Kariuki, NTV, Kenya

23. Arison Tamfu, Cameroon Journal, Cameroon

24. Kọ́lá Túbọ̀sún, Blogger at ktravula.com, Nigeria

25. Arukaino Umukoro, Punch Newspaper, Nigeria

26. Bento Venâncio, Jornal Domingo, Mozambique

27. Herman Verwey, Beeld, South Africa

28. Kiundu Waweru, The Standard on Saturday, Kenya

29. Sarah Wild, Mail & Guardian, South Africa

Source: CNN


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment