Picha: John Legend na mkewe Chrissy Teigen walikuwa Zanzibar July 18 mwaka huu na hawakutaka dunia ijue!!

10848342_290100557827072_848541294_n

Sio kitu cha ajabu kwakuwa waliamua kufanya mapumziko yao kuwa ‘private’ zaidi lakini kupitia picha walizopost watu waliweza kugundua.

two

John alipost picha mbili akiwa visiwani humo ambapo moja mke wake Chrissy anaonekana akimbusu shavuni na nyuma ikionekana minazi ya Zanzibar.
Katika picha hiyo John aliandika tu, “Vacation has begun.”
Katika picha nyingine ambayo inaonesha wazi mandhari ya Zenji, muimbaji huyo aliandika: Vacation vibes.”

three


Picha zinaonesha kuwa wawili walikaa Zanzibar kwa siku mbili au tatu tu.

one

Wawili hao walienda Zanzibar wakati huo tamasha la ZIFF lilikuwa limefunguliwa. Hii ni mara ya pili muimbaji huyo kwenda Zanzibar. Mwaka 2009 alishoot video ya wimbo wake Show Me huko.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment