Maurice Kirya amepanga kuachia wimbo maalum aliomuimbia marehemu mama yake, aliyefariki dunia hivi karibuni.
‘Mama We Made it’ ni wimbo unaopatikana kwenye album ya 3 ya staa huyo wa Uganda iitwayo ‘Mwooyo’.
Kupitia mitandao ya kijamii Kirya amesema kuwa wimbo huo utatoka Ijumaa hii Sept 25.
“Next Friday, I will release ‘Mama We Made it’ off the album ‘Mwooyo’. A very special song about a very special love!”– Maurice Kirya
0 comments:
Post a Comment