MTV wamtangaza msanii aliyeungana na kina Diamond kwenye kipengele cha ‘Best African Act’ tuzo za MTV EMA



MTV EMA


DJ Arafat wa Ivory Coast ndiye nominee wa tano anayeungana na Diamond platnumz (Tanzania), Davido (Nigeria), Yemi Alade (Nigeria) na AKA (South Africa) kwenye kipengele hicho cha ‘Best African Act’.

MTV walitoa majina ya wasanii watano ili wapigiwe kura Twitter kupata nafasi ya kuwa nominee wa tano wa kipengele hicho kwa mwaka huu. Wasanii ambao walichuana na DJ Arafat kupata nafasi hiyo ni Wizkid (Nigeria), Cassper Nyovest (South Africa) ambaye aliomba kuondolewa, K.O (South Africa) na Stonebwoy (Ghana).
Ili kumpigia kura Diamond aweze kushinda kipengele cha ‘Best African Act’
2015 MTV EMA’s zitafanyika October 25, 2015 jijini Milan, Italy.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment