Haya ndio matokeo ya mechi zote za UEFA

Michuano ya UEFA Champions League imeanza usiku wa Jumanne Sep 15, katika viwanja mbalimbali barani Ulaya. Baadhi ya timu zimefanikiwa kuibuka na ushindi huku nyingine zikiwa zimefungwa na pia kukiwa hakuna hata mechi moja iliyomalizika kwa sare.
Haya ndio matokeo ya michezo zote kwa ujumla wake.


Matokeo-UEFA-Sept-15


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment