Music: Davido – Dodo


Davido ameachia wimbo mpya uitwao ‘Dodo’, ambao utapatikana kwenye album yake mpya ‘Baddest’ ambayo mpaka sasa haijatoka licha ya kuahidi kuiachia mwezi huu (Septemba). Dodo ni wimbo uliotayarishwa na Kiddominant.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment