Walioshiriki katika wimbo huo ni pamoja na mkongwe kutoka Afrika Kusini Yvonne Chaka Chaka, Awilo Logomba (Congo), Diamond Platnumz (Tanzania), Eddy Kenzo (Uganda), Harrysong (Nigeria), Kcee (Nigeria), Stanley Enow (Cameroon), Dynamq (South Sudan) Teddy-A (Nigeria), Vanessa Mdee (Tanzania) na Toofan (Togo).
Tuzo za ‘2015 African Muzik Magazine Awards’ zinatarajiwa kutolewa Octoba 10 huko Dallas, Marekani.
0 comments:
Post a Comment