Mwana FA na Majani waingia studio!

Mwana FA anaweza kuwa busy akizunguka kwenye kampeni lakini anatumia muda huu pia kurekodi ngoma mpya.

11917908_898810503533962_337221762_n
Ngoma ya mwisho ya FA ilikuwa ni ile aliyomshirikisha Alikiba, Kiboko Yangu iliyompa tuzo ya KTMA 2015.
FA amepost picha akiwa studio na P-Funk Majani hali inayoashiria kuwa ngoma ijayo itatoka Bongo Records.
“So guess what…..? cc @majani187,” aliandika FA kwenye picha hiyo.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment