Picha: Madee amzawadia Dogo Janja gari kwenye birthday yake

Dogo Janja a.k.a Janjaro amezawadiwa gari katika siku ya kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa Sept 15.


Janja-3

Zawadi hiyo ya gari imetoka kwa Madee ambaye ndiye mlezi wake kimuziki kwa muda mrefu.

janja1

Dogo Janja ambaye sasa amefikisha miaka 21 ameshare picha Instagramakikabidhiwa gari hiyo.

Janja2

“Muwakilishi Wa Mshua Alikuwa @dicksound1 Tajiri Yangu,Moja Ya Watu Wa Karibu Sana Wa Mshua Na Pamoja Na Mimi.. Shukraaan Sana Kwa Uongozi Wa Tip Top Connection @madeeali @babutale Tajiriii Dick Umetishaaaa Sanaaa” – Dogo Janja
Katika post nyingine alimshukuru Madee;
“Shukran Sana Mshua @madeeali Uko Mbalii Lakini Umenisuprise.. Sina Cha Kukulipq Zaidi Ya Kukuheshimu Daima.. Hakika saiv Barabarani Tutapigiana Honiii Tu Shukran Sanaaa Sanaa Sanaa MUNGU AKUWEKE”


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment