Picha: Souti Sol na Ali Kiba wakiwa studio kuandaa ngoma ya pamoja

Kutoka nchini Kenya, Kundi la Sauti Sol wameungana na Ali Kiba kuandaa ngoma ya pamoja ambayo itatoka hivi karibuni. Kwenye facebook page ya Sauti Sol wameandika "Great songs have been written. Even greater ones are coming soon! Team Sauti Sol and Team Alikiba - UNITE!".
Hizi ni picha tu, Ngoma coming soon!








Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment