Ray C kukatazwa kwenda kwenye show Mombasa Kenya kwa hofu ya kurudia 'uteja'!

Star wa muziki na mwanaharakati wa kupambana na dawa za kulevya, Ray C ametolea ufafanuzi tetesi za kukatazwa kwenda huko Mombasa Kenya kwa ajili ya onyesho kubwa la muziki.
Hii ni baada ya tukio na hofu ya kumuepusha kurudi katika tatizo la uteja ambalo lilimkolea akiwa katika eneo hilo.

Taarifa hiyo ambayo inasambaa katika mitandao huko Kenya, zinadai kuwa kuzuiwa kwa Ray C kunatokana na serikali kutumia gharama nyingi kumtibu tatizo la uteja huko India, taarifa ambazo Ray C hapa anazitolea ufafanuzi.

-EATV
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment