Video ya Yamoto Band ‘Cheza Kwa Madoido’ kutambulishwa MTV Base (Sept 2)

Miongoni mwa sabaabu ambazo wasanii wa Tanzania huzitoa wanapoamua kwenda kufanya video na madirector wa nje, moja wapo huwa ni kupata connection ya video zao kuchezwa katika vituo vya kimataifa.
yamoto mtv

Yamoto Band pia wanaingia kwenye orodha ya wasanii wa Bongo ambao video zao zinaoneshwa na kituo cha MTV Base.

Video yao ‘Cheza Kwa Madoido’ iliyoongozwa na Godfather nchini Afrika Kusini, itaanza kuoneshwa leo Sept 2 saa 12 jioni na kituo cha MTV Base kupitia kipengele cha video mpya ‘Spanking New’.
Hii ndio itakuwa video ya kwanza kwa Yamoto Band kuoneshwa na kituo hicho.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment