Rihanna aaibishwa na mpenzi wake mpya!




Nyotawa muziki wa Pop, Rihanna hivi karibuni alijikuta akiaibika mbele ya mashabiki wake baada ya kuvuja kwa kipande cha video katika mitandao ya kijamii kikimuonyesha mpenzi wake mpya, Travis Scott akitumia dawa za kulevya aina ya Cocaine.

Katika kipande hicho cha video, Scott alionekana akiwa nyuma ya gari akijidunga dawa hizo huku akiongea maneno akiuliza wako wapi marafiki zake aliowataka kujitokeza waponde raha pamoja aliyokuwa anaipata wakati huo.

“Scott siyo aina ya mtu wa kuwa na Rihanna, hakufanya chaguo sahihi, ona anavyomuaibisha, bado ni mtoto kiakili,” aliandika shabiki mmoja kwenye ukurasa wa Instagram wa Rihanna.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment