Mshambulizi mpya wa Manchester United, Anthony Martial alithibitisha thamani yake alipoiongoza timu yake kusajili ushindi muhimu wa mabao matatu kwa mawili dhidi ya wenyeji wao Southampton.
Martial alijiunga the red devils kwa kitita cha pauni milioni 36 . Man United walianza vibaya mechi hii na kuwaruhusu The saints kupata bao la mapema kupitia kwa Graziano Pelle.
Pelle alifuma kimiani mkwaju uliokuwa umetemwa na kipa wa United, David De Gea kunako dakika ya 13. Hata hivyo Martial aliisawazishia United. Martial hakukuwa amemalizana nao,
Alimpa kocha van Gaal sababu ya kutabasamu baada ya kutumia vyema makosa ya Maya Yoshida aliyemega mpira hafifu kurudi nyuma kwa mlinda lango naye akaufyatua kimiani. Juan Mata alifunga bao la tatu dakika chache tu kabla ya Pelle kufunga bao lake na la pili na la Southampton.

Kufuatia ushindi huu muhimu vijana wa van Gaal wanakwea hadi nafasi ya pili katika jedwali la EPL.

0 comments:
Post a Comment