Steve R&B aanza kuibua vipaji vipya vya R&B


STEVE

Steve ameiambia E-Newz ya EATV kuwa Tanzania kumekuwa na upungufu wa wasanii wa muziki huo.

“Ni msanii mpya anayeitwa Credo. Hii tuseme ni new product kama vile Steve R&B, anafanya support watu wanaofanya R&B. Kwahiyo mimi kama mimi muda wote nilivyokuwa kimya I just support new artist. Kwahiyo hii ndio first project kwa sababu pia nimeona wasanii wa R&B hawapo wengi na wengi wapo na wana uwezo, kinachotakiwa ni kuonyesha support kufanya nao kazi ili watu wawaone,” alisema Steve.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment