Victoria Kimani: Sioni kama kuna ubaya kuuonesha mwili wangu sababu sijauazima ni wangu

Mwimbaji mrembo aliyeumbika, Victoria Kimani kutoka Kenya ameelezea sababu za kuvaa mavazi yanayouonesha sana mwili wake awapo jukwaani au kwenye video zake.

Victoria Kimani1

Akihojiwa na gazeti la Vanguard la Nigeria, msanii huyo wa label ya Chocolate City ya Nigeria amesema kuwa huwa anavaa vile anavyojisikia bila kujali watu watamfikiriaje kwasababu mwili ni wake na ndivyo alivyoumbwa, na kuongeza kuwa ndio maana wakati mwingine huamua kuvaa Hijabu ili kujihifadhi kwasabaabu ni maamuzi yake.

“Sometimes, I decide to flaunt it. I don’t even look at what people say because this is me and I try to be myself oftentimes. It is people who look at me as sex symbol. I think seeing me as a sex symbol depends on what the people seeing me that way think.
‘It is their own assessment because I do not dress or act it. Dressing is a thing of choice, what others like might be what others dislike,”
alisema Vicky.
Victoria Kimani ni msanii anayetokea kwenye familia ya dini, ambapo wazazi wake ni mapasta. Alizaliwa LA, Marekani lakini asili yake ni Kenya.
Tazama moja ya video zake, wimbo huu unaitwa ‘Show’




Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment