Video: Tyga na Kylie Jenner wazidi kuthibitisha mapenzi yao kwenye video mpya ‘Stimulated’


Rapper Tyga ameachia video mpya ambayo mrembo aliyecheza kama video model ni mpenzi wake Kylie Jenner.

tyga_kylie_jenner_stimulate


Kuna kila sababu kwa Tyga kuamua kumshirikisha Kylie kwenye video hiyo ya wimbo uitwao ‘Stimulated’ .
Wiki kadhaa toka Kylie afikishe umri wa miaka 18, wawili hao wamekua wakijiachia zaidi katika sehemu mbalimbali, na sasa katika video mpya ya Tyga ambayo Kylie ameshiriki kama mpenzi wa Tyga mwenye umri mdogo (kitu ambacho ni kweli kwenye uhalisia), wameonekana wakipeana mahaba na kwa mara ya kwanza wameonekana wakibadilishana mate hadharani.
Maneno ya kwenye wimbo huo yanaongeza uthibitisho kuwa wimbo uzungumzia uhusiano wao.
Tyga ana rap kuhusu kufanya mapenzi na msichana mwenye umri mdogo, kitu ambacho kinamlenga moja kwa moja Kyle ambaye anazidiwa miaka 7 na Tyga mwenye miaka 25.
Bridge ya wimbo Tyga anarap:
“She a big girl, dog
F*ck what they talkin’ about, nigga
She a big girl, dog
I’m gonna do what the f*ck I wanna do when I wanna do
She a big girl, dog
I’m puttin’ in, I’m penetratin’
I’m gettin’ big, I’m stimulated”

Itazame hapa:




Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment