Zari ampeleka Tiffah South, wanae wamuona mdogo wao kwa mara ya kwanza (Picha)


Baada ya Tiffah kufikisha siku 40, sasa ni muda wa kuonana na kaka zake watatu.


Tiffah akifurahia usingizi kwenye ndege wakati yeye na mama yake wakiwa safarini Afrika Kusini

Mama yake, Zari the Bosslady ametua kwake nchini Afrika Kusini kwa mara ya kwanza tangu ajifungue mtoto huyo wa Diamond Platnumz.

Mrembo huyo wa Uganda mwenye makazi yake South ameshare picha inayomuonesha mwanae wa kiume Lil Q akimwangalia kwa upendo mkubwa mdogo wake Tiffah aliyelala kitandani.



“Someone didn’t move an inch… spent half of his night just staring,” ameandika Zari kwenye picha hiyo.

Watu wengi wanasuburia picha ya watoto wake wote wakiwa wamembeba mdogo wao huyo wa kwanza wa kike kwenye familia yao.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment