Flora Mvungi amzuia H.Baba kuichezea Toto African



H.Baba amesema ameshindwa kuichezea klabu yake ya ligi kuu Tanzania bara ‘Toto African’ ya jijini Mwanza msimu huu kutokana na sababu za kifamilia.



Muimbaji huyo ambaye alisema ataonekana akiichezea klabu hiyo katika msimu huu wa ligi, ameiambia Bongo5 kuwa, mke wake amemkataza kufanya hivyo.

“Mke wangu Khadija (Flora) alikataa nisicheze mpira kwa sababu alisema nitakuwa mbali na familia yangu,” amesema. “Toto ni klabu ya Mwanza, kwahiyo ningekaa muda mrefu bila kuonana na wanangu.”

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment