Diego Costa asema yeye si malaika

Mchezaji wa Chelsea Diego Costa ameeleza anajua kwamba yeye “si malaika” pindi anapo kuwa uwanjani na kwamba hatabadilisha mtindo wake wa uchezaji soka.

_jpg_3181403b

Costa amepigwa marufuku mechi tatu mara mbili mwaka huu, mara ya kwanza kwa kumkanyaga mchezaji wa Liverpool Emre Can na mara ya pili kwa kumsukuma difenda wa Arsenal Laurent Koscielny.

“Nimefika mbali hivi kutokana na jinsi ninavyocheza,” mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 ameambia wanahabari wa BBC wa Football Focus.
“Sitabadilisha hilo eti kwa sababu ya vile watu wanachukulia uchezaji wangu.” alisema hayo Diego Costa
Source: BBC


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment