Diamond atajwa kwenye orodha ya jarida la ‘New Afrika’ ya Waafrika 100 wenye ushawishi – 2015


Diamond Platnumz ametajwa kwenye orodha ya kila mwaka ya jarida la New Africa lenye makao yake jijini London, Uingereza ya Waafrika 100 wenye ushawishi zaidi mwaka 2015.

12144171_992371684172114_1315042514_n

Orodha hiyo hujumuisha Waafrika waliofanya mambo makubwa kwenye sekta nane zikiwemo Siasa (22); Public Office (4); Sanaa na Utamaduni (21); Biashara (21); Civil Society (11); Technology (9); Media (7); and Sports (5).

Nigeria na Afrika Kusini imetawala orodha hiyo kwa kuwa na watu 20 na 16. Kenya, Uganda na Cameroon zina watui sita kila moja.

Viongozi waliomo kwenye orodha hiyo ni pamoja na rais wa Nigeria Muhammadu Buhari na aliyemrithi Dr Goodluck Jonathan, Ellen Johnson Sirleaf wa Liberia, Alpha Conde wa Guinea na Ernest Bai Koroma wa Sierra Leone.
Pamoja na Diamond, mastaa wengine waliomo ni pamoja na Akon, Lupita Nyong’o, Trevor Noah na d Linda Ikeji.

CUmHlf3W4AAWiLQ

Kuhusu Diamond, jarida hilo limeandika:

Winner of the 2015 MTV Africa Music Award for Best Live Act, as well as Best African Live Act at the 2015 European Music Awards (EMAs), Diamond Platnumz is undoubtedly on of the continent’s biggest mussicians having made a tremendoud impact on the industry both local and global with hits such as ‘Number one’ which featured the talented Nigerian Davido and garnered him a huge following on social media this Tanzanian artist’s influence is most palpable amoungst the African youth and through the conversations they about him online. Tanzania did not just gain a new President in 2015 but ana international superstar making his country proud as well.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment