Jasusi wa Marekani aliyeisaidia Israel aachiliwa






Jonathan Pollard

Afisa wa ujasusi wa Marekani aliyehukumiwa kwa kupatikana na hatia ya kufanyia ujasusi Israel ameachiliwa kutoka gerezani baada ya kutumikia kifungo cha miaka 30.

Jonathan Pollard, aliyekuwa wakati mmoja afisa wa maswala ya usalama katika jeshi la wanamaji la Marekani alipatikana akiuzia maafisa wa Israel nyaraka za siri za Marekani mwaka 1985.

Chini ya masharti ya kauchiliwa kwake, hapaswi kuondoka Marekani kwa muda wa miaka mitano baada ya kuachiliwa.


Jonathan Pollard

Bwana Pollard anasema kuwa anataka kuhamia Israel kwa sababu mkewe anaishi huko.

Viongozi wa Israel wamekuwa wakifanya kila juhudi kuishinikiza serikali ya Marekani kumwachilia Pollard kutoka gerezani.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment