Mo Music kwenda Afrika Kusini kushoot video ya ‘Skendo’ na director huyu…



Muimbaji wa Bongo fleva, Moshi Katemi maarufu kama Mo Music anatarajia kwenda nchini Afrika Kusini kushoot video ya wimbo wake mpya ‘Skendo’ aliouachia hivi karibuni.



Hit Maker huyo wa ‘Basi Nenda’ amesema licha ya kuwa anaenda kushoot nje ya nchi lakini atamtumia director wa hapa nyumbani Adam Juma ambaye ndiye alishoot video zake mbili zilizopita.

“Sitaki kuwaangusha mashabiki wangu, nitakwenda Afrika Kusini kufanya video ya Skendo ila nitamtumia Adam Juma kwa sababu ni mwongozaji bora na huwa tunafanya kazi nzuri kila tunapokutana,” alisema Mo Music.

Source: Mtanzania

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment