Amini: Sitokaa kimya tena kuanzia sasa


Amini amewahakikisha mashabiki wake kuwa hatokaa tena kimya kama zamani kuanzia sasa.


Hivi karibuni aliachia wimbo wake mpya uitwao Furaha.

“Unajua nashukuru kwanza mashabiki wangu wamepokea vizuri huu ujio wangu na nimefanya interview ile siku ambayo wimbo umetoka mikoa 23 ya Tanzania. Huko nyuma haikuwahi kutokea kwangu. Hii inaonyesha jinsi gani sasa hivi muziki umekuwa. Na sasa hivi nawaahidi mashabiki wangu kuwa sitokaa kimya sana. Itakuwa ni ngoma juu ya ngoma tu,” Amini ameiambia Bongo5.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment