TID anaamini teknolojia inawabeba wasanii wasio na vipaji


Hitmaker wa Zeze, Nyota Yako na ngoma zingine, TID amesema mabadiliko ya teknolojia yamewafanya wasanii wasio na vipaji kupata nafasi ya kufanya vizuri.




Akizungumza katika kipindi cha Planet Bongo cha EATV jana, TID alisema kwa kipaji alichonacho alitakiwa kuwa tajiri kuliko wasanii wote.

“Sasa hivi tumeamua kuwa pamoja zaidi kuboresha yale ambayo tulianzisha. Nafikiri sisi wakati tumeanza tulitumia nguvu nyingi sana,” alisema.

“Sasa hivi teknolojia inawabeba hawa watoto, wasanii wajinga, hawajui kuimba malofa, lakini sisi hatukupata advantage ya sasa hivi hii ya teknolojia ya dunia, social media. Tulitakiwa kuwa matajiri kuliko hawa watoto. Lakini kwa sababu wao wamepata advantage, wamesahau msingi. Sasa sisi tunarudisha shule ya msingi,” alisisitiza TID.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment