Mshindi wa tuzo ya AFRIMA 2015 ‘Best African Pop’ , Vanessa Mdee a.k.a Vee Money bado yuko nchini Nigeria akifanya Interviews pamoja na kurekodi nyimbo mpya.
Vanessa ambaye hivi sasa anafanya vizuri na wimbo wake mpya ‘Never Ever’, jana amerekodi wimbo mpya kwa producer E Kelly Beatz wa Naija. “Cooking with my bro @ekellybeatz #Lagos” Vanessa aliandika kwenye picha aliyopost Instagram.
Kwenye wimbo huo Vee amesema amemshirikisha Runtown ambaye wiki chache zilizopita alikuja Tanzania kwenye fanali za BSS.
“Finally Got @runtown to jump in this fire joint. #VeeinGid” aliandika Vanessa.
0 comments:
Post a Comment