Meek Mill kurudi tena jela, apatikana na hatia za kukiuka masharti ya probation



Mambo si mazuri kwa Meek Mill.



Rapper huyo wa Philadelphia, Alhamis hii alipanda kizimbani na kujitetea mbele za jaji kuwa amebadilika.

Wakati wa utetezi wake, Meek alimuingiza pia mpenzi wake Nicki Minaj: I’m not a gangsta. I’m not a criminal,” alisema. I have my queen, Nicki now. I’m trying to do better and feel like I can be the best rapper alive.”

Hata hivyo jaji hakushawishisha na utetezi wake na alimkuta na hatia ya kukiuka masharti ya probation na kuitaja Feb 5 kama siku ya hukumu.

Hatotakiwa kusafiri nje ya Philadelphia, au kutumbuiza kwenye show yoyote ndani ya nje ya Philly. Meek anakabiliwa na kifungo cha jela kutokana na kesi yake ya mwaka 2008 ya kumiliki silaha na madawa ya kulevya.

Alifungwa jela miezi 11 hadi 23. Baada ya kutoka alibainika kuvunja masharti ya probation kwwa kuendelea kufanya show. Mwaka jana pia alitumikia kifungo kutoka July hadi December kutokana na kesi hiyo hiyo.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment