Future amchana Ciara, adai anapenda kutawala wanaume



Future amemchana baby mama wake, Ciara kwa kudai kuwa muimbaji huyo amekuwa na tabia za kutaka kutawala wenzake na amekuwa akimzuia kumuona mtoto wao wa kiume mwenye mwaka mmoja.


Rapper huyo ametumia Twitter kutoa malalamiko yake ambako anadai amekuwa akitoa $15,000 kwaajili ya matunzo ya mtoto.



Amedai kuwa amekuwa mkimya kwa mwaka mzika na kwamba sasa uvumilivu umemshinda na anamtaka mwanae.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment