Pierre Aubameyang mwanasoka bora Afrika kwa mwaka 2015




Mchezaji wa timu ya taifa ya Gabon Pierre Aubameyang amebeba tuzo ya mwanasoka bora Afrika kwa mwaka 2015 na kumshinda Yaya Toure.



Toure alibeba tuzo hiyo mara tatu mfululizo na kama angechukua tena ilikuwa ni mara ya nne mfululizo ambayo ingekuwa ni rekodi.



Pierre Aubameyang akiwa na Baba ake na Kaka yake
Aubameyang anekipiga katika kikosi cha Borrusia Dortmund ya Ujerumani na timu ya taifa ya Gabon ambayo yeye ni nahodha.

Tuzo hizo zimefanyika jijini Lagos nchini Nigeria na kuhudhuriwa na watu mbalimbali maarufu katika soka barani Afrika.

Yaya anayekipiga katika kikosi cha Man City alishika nafasi ya pili huku ya tatu ikienda kwa Andre Ayew ambaye aliongozana na baba yake, Abeid Pele.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment