Collaborate ya Joh Makini na Davido imeanza kunukia. Joh Makini amesema collabo yake na Davido tayari imekamilika na kitu kizuri zaidi ni kuwa msanii huyo wa Naija ameimba Kiswahili chorus nzima,
“Nilimuuliza tufanyaje akasema send me something, Nikamtumia beat, nikamtumia kama idea flani tukatengeneza kiswahili flani hivi akapenda na ameimba kiswahili chorus nzima” Joh Makini aliiambia AyoTv. Hata hivyo Joh Makini amesema bado hajaamua itatoka lini kwasababu bado hawajashoot video.
0 comments:
Post a Comment