Kuna wakati nauchukia umaarufu – Shamsa Ford



Staa wa filamu ya Bado Natafuta na Chausiku, Shamsa Ford amefunguka kwa kusema kuwa wakati mwingine anajuta kuwa maarufu.




Kupiti instagram, Shamsa ameandika.


Umaarufu una raha lakini ubaya wake ukiwa maarufu ni ngumu kumjua mtu anayekupenda kwa dhati kwa sababu wengine wanaweza wakawa wanakufwata kwa ajili ya jina lako ili mradi awe karibu tu na wewe. Umaarufu Ubaya wake unakuwa Huna uhuru wa maisha yako.yaani tena ukiwaendekeza hao binadamu unaweza ukajikuta unaishi kwa matakwa yao which is not good coz mwisho wa siku kila mtu ataiaga dunia na kila nafsi itajitetea kivyake . .kitu kidogo akifanya mtu maarufu kinaweza kikawa kikubwa kuliko akifanya mtu wa kawaida wakati wote ni binadamu. Loh muda mwingine nauchukia umaarufu.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment